Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

EKARI TATU KWA MILIONI 11 DODOMA MJINI Commercial

2 years ago Real estate Dodoma   1.1K views

TSh11,000,000

  • ekari-tatu-kwa-milioni-11-dodoma-mjini-big-0
  • ekari-tatu-kwa-milioni-11-dodoma-mjini-big-1
Location: Dodoma
Price: TSh11,000,000

Eneo lipo mbwanga mwishoni kabla hujaanza kwenda nala.linapungua kidogo kufika ekari tatu,umbali toka town centre hazizidi kilomita 12 na umbali kutoka barabara ya lami iendayo singida/tabora/mwanza ni karibu mita 500/600.karibu na eneo hili kuna mradi wa kufyatua na kuuza tofali,pia kuna ghorofa nzuri sana inajengwa ambayo iko mbele kidogo ya eneo lilipo.hati yake ni ya kijiji,halijapimwa ila majirani wawili wanaokuzunguka washapimiwa tayari.umeme upo karibu,na water table pia kwa ajili ya uchimbaji wa kisima kama ukihitaji.hii ni fursa ya kipekee na ofa kubwa kuliko msimu huu wa nane nane.kwa anayehitaji fanya maamuzi ya haraka na makini kutolikosa eneo hili lililo na fursa ya kila namna kuanzia kibiashara mpaka makazi.karibuni sana