TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO! Commercial
8 months ago - Jobs Offers - Dar es Salaam - 219 views Location: Dar es Salaam
Price: TSh75,000 Negotiable
Je unataka kujiajiri? Je unataka kuendesha na kusimamia biashara yako?
Ital Shoe Limited wanakuletea fursa adimu ya kuanzisha biashara yako kwa mtaji mdogo. Njoo uwe wakala wetu upate viatu vya shule, viatu vya maofisini, viatu vya viwandani na viatu vya ulinzi kwa bei nafuu.
Wahi mapema, Pambana na Umaskini!